SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,042 episodesLatest about 22 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 47

  1. Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia

    Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.

    10:26
  2. Kila kitu una stahili jua kuhusu Boxing Day nchini Australia

    Siku ya Boxing Day nchini Australia, ni mchanganyiko wakipekee wa umuhimu wa utamaduni na biashara.

    11:57
  3. Krismasi huwaje nchini Australia

    Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.

    08:33
  4. Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023

    Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.

    16:59
  5. Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko

    Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye…

    07:05
  6. Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"

    Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.

    16:40
  7. Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023

    Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.

    18:40
  8. Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland

    Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.

    07:17
  9. Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023

    Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki trop…

    07:04
  10. Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"

    Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.

    16:58
  11. Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe

    Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.

    09:24
  12. Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023

    Bunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.

    22:07
  13. Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa

    Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.

    10:16
  14. Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023

    Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.

    17:54
  15. Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia

    Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.

    11:15
  16. Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023

    Waziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.

    07:58
  17. Gilbert afunguka kuhusu mchezo wa handball

    Watu wenye asili ya Afrika, wana julikana kwa umahiri wao waku cheza, soka, mchezo wavikapu, ndondi na riadha.

    07:29
  18. Taarifa ya Habari 8 Disemba 2023

    Majimbo kadhaa yame wekwa katika tahadhari ya juu ya moto wa vichaka, mazingira ya joto kali yakitabiriwa wikendi hii.

    19:27
  19. Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023

    Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwakamata tena watu ambao si raia wa…

    06:33
  20. Makubaliano ya Uingereza na Rwanda kuhusu waomba hifadhi mashakani

    Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amewataka wabunge wa chama chake cha Conservative siku ya Alhamisi kuunga mkono mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi.

    07:25
Now Playing