SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,042 episodesLatest about 21 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 46

  1. Taarifa ya Habari 2 Februari 2024

    Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.

    18:54
  2. Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi

    Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharam…

    06:15
  3. Taarifa ya Habari 1 Februari 2024

    Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu…

    06:42
  4. Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

    Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.

    12:08
  5. Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"

    Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.

    08:46
  6. Taarifa ya Habari 30 Januari 2024

    Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu…

    19:03
  7. Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya

    Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.

    07:29
  8. Taarifa ya Habari 29 Januari 2024

    New Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.

    05:59
  9. Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza

    Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.

    08:05
  10. Taarifa ya Habari 26 Januari 2024

    Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfaj…

    18:21
  11. Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia

    Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.

    08:01
  12. Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuo

    Sekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.

    15:12
  13. Taarifa ya Habari 23 Januari 2024

    Kuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri h…

    24:10
  14. How to become a First Nations advocate - Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza

    First Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations comm…

    06:54
  15. Taarifa ya Habari 19 Januari 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai…

    20:23
  16. Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi

    Wawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais…

    07:32
  17. Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?

    Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.

    12:15
  18. Taarifa ya Habari 16 Januari 2024

    Wakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mj…

    20:15
  19. Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia

    Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.

    11:20
  20. Taarifa ya Habari 12 Januari 2024

    Shirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.

    18:50
Now Playing