SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,042 episodesLatest about 24 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 49

  1. Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023

    Serikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.

    18:30
  2. Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi

    Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.

    18:17
  3. Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023

    Serikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.

    21:16
  4. Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili

    Melbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.

    07:19
  5. Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi

    Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.

    12:24
  6. Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia kat…

    20:41
  7. Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

    05:35
  8. Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

    04:26
  9. Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023

    Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shiri…

    21:01
  10. Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji

    Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.

    08:02
  11. Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"

    Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.

    12:44
  12. Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023

    Vita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.

    17:58
  13. Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa

    Wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.

    13:44
  14. Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023

    Wa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefun…

    19:14
  15. Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili

    Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.

    11:42
  16. Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria

    Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.

    10:32
  17. Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australi…

    20:09
  18. Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"

    Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.

    12:32
  19. David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum

    Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama w…

    10:19
  20. Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023

    Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mj…

    15:54
Now Playing