SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,042 episodesLatest about 15 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 37

  1. Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024

    Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

    19:13
  2. Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"

    Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

    05:59
  3. Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"

    Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

    09:04
  4. Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024

    Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao…

    17:26
  5. Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia

    Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

    12:19
  6. Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024

    Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

    19:43
  7. Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"

    Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

    09:43
  8. Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024

    Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

    16:46
  9. Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

    Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

    07:56
  10. Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

    10:35
  11. Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024

    Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

    18:49
  12. Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"

    Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.

    07:09
  13. Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024

    Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitand…

    17:55
  14. Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania

    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na…

    08:02
  15. Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024

    Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.

    17:24
  16. Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili

    Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuh…

    10:18
  17. #39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)

    Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.

    17:25
  18. Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao

    Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.

    11:51
  19. Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

    10:28
  20. Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024

    Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.

    16:40
Now Playing