SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,041 episodesLatest 6 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 35

  1. Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024

    Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.

    21:50
  2. Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine

    Australia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.

    06:36
  3. Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"

    Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.

    13:23
  4. Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024

    Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.

    19:28
  5. Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia

    Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.

    16:27
  6. Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024

    Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.

    18:08
  7. Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini

    Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.

    07:32
  8. Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024

    Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.

    15:15
  9. Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi

    Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.

    13:35
  10. Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"

    Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.

    27:41
  11. Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024

    Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.

    18:42
  12. Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia

    Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.

    14:11
  13. Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024

    Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.

    19:29
  14. Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa

    Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

    11:11
  15. Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC

    Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.

    07:20
  16. Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victori…

    16:19
  17. Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"

    Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.

    13:41
  18. Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.

    19:50
  19. Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao

    Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.

    09:34
  20. Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024

    Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.

    19:35
Now Playing