SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,041 episodesLatest 6 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 32

  1. Taarifa ya Habari 24 Februari 2025

    Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao…

    06:25
  2. Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali"

    Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakup…

    09:23
  3. Taarifa ya Habari 20 Februari 2025

    Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampun…

    07:17
  4. Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni

    Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?

    14:30
  5. Taarifa ya Habari 18 Februari 2025

    Onyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia.

    21:56
  6. Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi

    Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.

    15:34
  7. Taarifa ya Habari 17 Februari 2025

    Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.

    08:19
  8. Taarifa ya Habari 13 Februari 2025

    Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wa…

    06:46
  9. Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume

    Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.

    15:10
  10. Taarifa ya Habari 11 Februari 2025

    Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Austra…

    17:53
  11. Jinsi ya kuandaa ombi la kazi

    Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

    10:57
  12. Taarifa ya Habari 10 Februari 2025

    Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.

    08:27
  13. Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki”

    Waasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.

    07:11
  14. Taarifa ya Habari 7 Februari 2025

    Serikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo ya vijijini.

    19:02
  15. Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia

    Nchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.

    12:48
  16. Taarifa ya Habari 6 Februari 2025

    Nchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Palestina kuwa hatua hiyo ita yumbi…

    07:01
  17. Taarifa ya Habari 4 Februari 2025

    Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.

    19:29
  18. Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu

    Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari ka…

    09:09
  19. Taarifa ya Habari 3 Februari 2025

    Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi…

    07:09
  20. Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa"

    Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.

    11:42
Now Playing