SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,041 episodesLatest 6 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 27

  1. Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia

    Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

    13:10
  2. Taarifa ya habari 10 Julai 2025

    Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa m…

    15:32
  3. Miaka 50 ya SBS- Waandishi wa habari waelezea nyakatu muhimu

    SBS ina sherehekea miaka 50.

    08:00
  4. Zambia ya mpoteza Rais mstaafu Edgar Lungu

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

    07:01
  5. Taarifa ya Habari 6 Juni 2025

    Bunge ya Tasmania yapitisha kura yakutokuwa na imani kwa kiongozi wa jimbo hilo Jeremy Rockliff. Mswada huo ulio wasilishwa na kiongozi wa chama cha Labor Dean Winter, ulipita kwa…

    17:34
  6. Australia Yafafanuliwa: Unaweza zingatia kumteua mtu kwa tuzo ya Order of Australia?

    Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.

    12:26
  7. Taarifa ya Habari 5 Juni 2025

    Marekani imetumia kura yake ya turufu dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililo kuwa likiomba kusitishwa kwa vita pamoja na misaada yakibinadam kuruhusiwa ku…

    05:45
  8. Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili

    Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.

    10:14
  9. Taarifa ya Habari 3 Juni 2025

    Seneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.

    19:30
  10. Who are the Stolen Generations? - Vizazi vilivyo ibiwa ni kina nani?

    Australia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander children were removed from their fa…

    10:26
  11. Taarifa ya Habari 30 Mei 2025

    Wakati inaweza chukua zaidi ya mwaka kwa baadhi ya madai ya bima ya mafuriko kutatuliwa, malipo ya mara moja kwa walio athirika jimboni New South Wales yata anza kutolewa leo 30 Me…

    15:10
  12. Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana

    Siku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.

    08:37
  13. Taarifa ya Habari 27 Mei 2025

    Idadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jimbo [[SES]] imesema nyumba 794 k…

    16:56
  14. Tafakari, na wito wakuchukua hatua, katika siku ya Kitaifa yakusema Pole

    Matukio yame fanyika kote nchini Kuadhimisha Siku ya Kitaifa yakuomba msamaha 26 Mei, hatua ambayo ni kukiri kuondolewa kwa lazima kwa watoto wa Mataifa ya Kwanza kutoka kwa famili…

    09:22
  15. Taarifa ya Habari 26 Mei 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, baada ya takriban miezi mitatu ya…

    06:33
  16. UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC

    Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.

    06:53
  17. Taarifa ya Habari 22 Mei 2025

    Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elf…

    05:38
  18. SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)

    Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?

    14:33
  19. Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika

    Mandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.

    14:12
  20. Taarifa ya Habari 20 Mei 2025

    Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.

    17:59
Now Playing