SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,041 episodesLatest 6 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 20

  1. Yaliyojiri Afrika:Nini kipya mwaka 2026?

    Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:03
  2. Yaliyojiri Afrika:Ukosefu wa maji wawaathiri wakaazi wa Tanzania

    Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:57
  3. Yaliyojiri Afrika:Waasi wa M-23 kujiondoa ili kusaidia juhudi za amani Congo

    Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:55
  4. Yaliyojiri Afrika:Burundi kuanza kusafirisha madini nje ya nchi ili kuimarisha uchumi

    Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:44
  5. Yaliyojiri Afrika:Wanafunzi 300 waachiliwa baada ya kutekwa nyara shuleni Nigeria

    Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

    08:41
  6. Yaliyojiri Afrika:Hatua ya Israel kuitambua Somali Land yazua utata

    Mwanahabari Jason Nyakundi atujuza yaliyojiri Afrika. Kwa maelezo zaidi elekea kwa mitandao yetu ya kijamii au tovuti yetu sbs.com.au/swahili

    06:24
  7. Makala leo:YWCA yapewa sifa kwa kuwasaidia wanawake Sydney

    Kukusanya fedha ili kupunguza makazi duni miongoni mwa wanawake ndiyo lengo la hoteli moja mjini Sydney, moja kati ya biashara elfu kumi na mbili ya kijamii nchini Australia zinazo…

    04:48
  8. Makala leo:China yaongeza ushuru kwa bidhaa za nyama ya ng'ombe

    Biashara ya nyama ya ng'ombe ya dola bilioni ya Australia inakabiliwa na mabadiliko makubwa kutokana na hatua ya China kuweka ushuru wa asilimia Hamsini na tano kwa uingizaji wa bi…

    05:56
  9. Taarifa ya habari:Marekani yavamia Venezuela na kumkamata rais Maduro na mkewe

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru shambulio kubwa dhidi ya Venezuela kuwakamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro na mke wake. Wametuhumiwa na makosa ya dawa za kulevya na sila…

    09:13
  10. Tukio la risasi Sydney:wengi wauawa akiwemo mtoto mmoja, huku wengine wakijeruhiwa.

    Polisi wametangaza shambulio la risasi nyingi huko Bondi Beach Jumapili kama shambulio la kigaidi, baada ya wanaume wawili kufyatua risasi kwa mamia ya watu waliokusanyika kwa ajil…

    10:00
  11. Waaustralia wakabiliwa na wastani wa kusubiri miaka mitano kwa teknolojia za matibabu zinazookoa maisha

    Ripoti mpya ya kitaifa imegundua kuwa Waasutralia wanakabiliwa na wastani wa kusubiri miaka mitano kwa teknolojia za matibabu zinazookoa maisha. Ripoti inasema kuwa ingawa teknoloj…

    07:26
  12. Matokeo ya Cronulla 2005 yakumbukwa kwa hisia mchanganyiko

    Miaka ishirini iliyopita, maelfu walikusanyika kwenye kitongoji cha pwani cha Cronulla huko Sydney, kwa kile kilichogeuka kuwa mkutano wa vurugu dhidi ya uhamiaji kutoka Mashariki…

    08:58
  13. Wataalamu waonya kuwa msimu wa moto umeanza tunapotarajia joto kuongezeka

    Katika wiki za hivi karibuni, moto wa nyika umesababisha uharibifu wa nyumba na mali katika maeneo ya pwani ya katikati ya kaskazini ya New South Wales, Geraldton huko Magharibi mw…

    08:03
  14. Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

    Kuna mambo mengi ya kushughulikia wakati huu wa mwaka, na milo yetu inaweza kuja na upande wa magonjwa. Baraza la Habari za Usalama wa Chakula la Australia limetoa vidokezo vyake b…

    06:16
  15. Taarifa ya habari:serikali ya Australia yaomba msamaha rasmi kwa watu wa mataifa ya kwanza leo

    Baadhi ya habari zinazojumuisha taarifa yetu leo, *Victoria inatarajiwa kutoa msamaha kwa watu wa mataifa ya kwanza leo *Serikali ya Northern territory imepinga ziara ya umoja wa m…

    09:53
  16. Yaliyojiri Afrika:mapigano kati ya waasi wa M-23 na jeshi la DRC yaendelea

    Jason Nyakundi anatujuza kinachoendelea Afrika. Kwa maelezo zaidi elekea kwa tovuti yetu ya sbs.com.au/swahili.

    08:55
  17. Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia

    Kadri msimu wa ununuzi wa sherehe unapoanza, wauzaji wanajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani. Nchini Australia kote, wizi umefikia kiwango cha juu zaidi katika miaka 21. Wataalam…

    05:21
  18. Australia kupiga marufuku mitandao ya jamii kwa walio chini ya umri 16

    Kuanzia Jumatano wiki hii, Australia itakuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku watu walio chini ya umri wa miaka 16 kuwa na akaunti za mitandao ya kijamii, na kusababisha maju…

    08:23
  19. Taarifa ya habari:Keir Starmer amlaumu Vladimir Putin kwa kifo cha mwanamke mwaka 2018

    Kwa taarifa zaidi tunakuelekeza katika tovuti ya sbs.com.au/swahili.

    10:56
  20. Yaliyojiri Afrika:Rwanda na DRC wamesaini makubaliano ya amani

    Jaon Nyakundi anatujuza kinachoendelea Africa.

    09:15
Now Playing