← SBS Swahili - SBS Swahili
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi artwork

Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi

SBS Swahili - SBS Swahili
06:02
Play episode

Show notes

After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts have different roles, and how some official decisions can be questioned. - Baada ya kupewa faini kwa kutovaa kofia ya pikipiki ipasavyo, Hugo anaamua kulifikisha suala hilo mahakamani. Hadithi yake inaeleza jinsi Bunge, serikali na mahakama zinavyotekeleza majukumu tofauti, na jinsi maamuzi fulani rasmi yanavyoweza kuhojiwa. How Australia Works is an SBS podcast that uses real stories and clear explanations to help you understand how government work in Australia, how laws are made and changed, and how you can have a say. Listen to the series and find shorter versions in 60 languages on the How Australia Works main page. - How Australia Works ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ili kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza kutoa maoni. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi katika lugha 60 kwenye tovuti ya How Australia Works.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music