← SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho ya tetea jibu lake kwa mlipuko wa Diphtheria artwork

Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho ya tetea jibu lake kwa mlipuko wa Diphtheria

SBS Swahili - SBS Swahili
05:14
Play episode

Show notes

Waziri wa Afya Mark Butler ametetea utoaji wa kifurushi cha dola milioni 7 kutoka kwa serikali kusaidia kujibu mlipuko wa ugonjwa wa diphtheria ambayo ni maambukizi makubwa ya bakteria yanayoambukiza sana na huathiri njia zakupumua na inaweza sababisha vidonda kwenye mwili pia. Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Australia kimepanda hadi asilimia 4.5, huku kazi 19,000 zikiaondoka katika uchumi mnamo Aprili. Ofisi ya Takwimu ya Australia inasema ongezeko la ukosefu wa ajira imechangiwa na kupungua kwa ajira ya wanawake, kushuka kwa kwanza katika kitengo hicho tangu Agosti 2025. Shirika la Afya Duniani WHO limesema mlipuko wa Ebola ambao tayari umesababisha vifo vya watu 130 nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huenda ulianza miezi miwili iliyopita. Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing