← SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945 artwork

Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945

SBS Swahili - SBS Swahili
05:21
Play episode

Show notes

Wito wa kupunguzwa kwa kodi unaongezeka baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha wapiga kura wengi wanataka serikali ifanye mengi zaidi kusaidia wapangaji. Ripoti ya Mchunguzi wa malalamiko wa Jumuiya ya Madola imebainisha kuwa watu 30 walizuiliwa kimakosa na Idara ya Mambo ya Ndani katika mwaka wa fedha wa 2024–25. Miongoni mwao yumo raia wa Australia aliyeshikiliwa katika kituo cha kizuizi cha uhamiaji kwa siku 945, licha ya kuwaambia mamlaka mara kwa mara kwamba yeye ni raia wa Australia. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kupitia mwakilishi wake, imetoa wito tena Jumanne, Oktoba 13, kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kubadili matamshi yao kuwa vitendo ili kukomesha mgogoro uliopo mashariki mwa nchi hiyo. Kulingana na Kinshasa, wakati wa ahadi umekwisha; sasa ni wakati wa utekelezaji mzuri wa ahadi zilizotolewa na pande mbalimbali na maamuzi ya Baraza la Usalama. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing
Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945 — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music