← SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria artwork

Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria

SBS Swahili - SBS Swahili
12:26
Play episode

Show notes

Mipango inafanywa kupeleka wauguzi zaidi katika Wilaya ya Kaskazini kujibu mlipuko mbaya zaidi wa diphtheria nchini kwa zaidi ya miaka 30. Kesi 230 za maambukizo zimeripotiwa mwaka huu, kesi nyingi zikiwa katika Wilaya ya Kaskazini, lakini pia katika majimbo ya Magharibi Australia, Kusini Australia na Queensland. Nchini Uganda, zaidi ya watu 100 wamewekwa karantini, baada ya kushukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, wakati huu serikali ikiweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo, baada ya watu wawili kuthibitishwa kuambukizwa jijini Kampala. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing
Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music