← SBS Swahili - SBS Swahili
Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi artwork

Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi

SBS Swahili - SBS Swahili
12:58
Play episode

Show notes

About one in five Australian men will be diagnosed with prostate cancer in their lifetime. Understanding the prostate, your risk and the options for testing can help with early detection and treatment. In this episode of Australia Explained, learn about prostate cancer, PSA testing, treatment and support. - Karibu mwanaume mmoja kati ya watano wa Australia atagunduliwa ana saratani ya tezi dume katika maisha yake. Kuelewa tezi dume, hatari yako na chaguzi za kupima kunaweza kusaidia katika kugundua na kutibu mapema. Katika makala haya ya Australia Yafafanuliwa, jifunze kuhusu saratani ya tezi dume, upimaji wa PSA, matibabu na usaidizi.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing
Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music