← SBS Swahili - SBS Swahili
Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu artwork

Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu

SBS Swahili - SBS Swahili
14:21
Play episode

Show notes

Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It takes about 20 minutes, once every two years, and it’s an effective way to take charge of our health. Let’s take a closer look at why a breast screen is nothing to be anxious about. - Uchunguzi wa mara kwa mara wa matiti unaweza kusaidia kugundua saratani ya matiti katika hatua za awali, kabla ya kuona dalili zozote. Uchunguzi huu ni bure kwa wanawake wanaokidhi vigezo au watu walio katika hatari ya kupata saratani ya matiti. Huchukua takriban dakika 20, mara moja kila baada ya miaka miwili, na ni njia madhubuti ya kudhibiti afya zetu. Hebu tuangalie kwa kina kwa nini hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kuhusu uchunguzi wa matiti.

More from this show

More
  1. Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

    Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    06:59
  2. Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi

    Polisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na gar…

    15:31
  3. How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works

    How do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can h…

    07:33
  4. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

    Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.

    05:39
  5. Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"

    Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.

    12:33
  6. Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

    Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwa…

    09:36
Now Playing
Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music